Wengi tunavo fahamu Lulu sio Mwislam Ila pia si vibaya yeye kuungana na waslam kuadhimisha mwezi huu mtukufu kama imani zao zinavyo ruhusu. Ila swali langu limekuja kutokana na Ninavyo mfahamu mwana dada huyu... ni kweli huu muonekano wake wa nje kaudhamiria au kafuata tu mkumbo by da way sipaswi kumsemea loote kwani yeye ndio anae ufamu ukweli na anachokimaanisha. |
No comments :
Post a Comment