Top News

Tuesday, July 9, 2013

PICHA NYUMA YA PAZIA OBAMA NA RIZWANI KIKWETE

Mhe. Rais Jakay Kikwete wa Tanzania anaonekana akimwambia Rais Barack Obama " Mr. President this is my son, he is a Lawyer and politician

Kushoto Mhe. Ridhiwani Kikwete Mjumbe wa NEC akisalimiana na Rais Obama wa Marekani, amekiri kuwa ilikuwa ni heshima ya pekee ya kutambulishwa kwa Mhe. Rais wa Taifa kubwa la Marekani.




No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ