Top News

Tuesday, July 2, 2013

PICHA OBAMA AKICHEZA MPIRA ALIPOTEMBELEA MITAMBO YA KUFUA UMEME UBUNGO

Rais Obama akionyesha uwezo wa kumiliki mpira kwa kupiga kichwa bila kutua chini wakati alipotembelea mitambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuondoka nchini.
 Hapa akipiga danadana huku akishuhudiwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.  
Rais Kikwete akimwangalia Obama wakati akipiga mpira danadana.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ