Top News

Monday, July 1, 2013

PICHA: WATU 33 WAFARIKI DUNIA WALIPOKUA WAKICHOTA MAFUTA KWENYE LORI LILILOPATA AJALI

uganda-lori-mafuta-moto-vifo-t

Moto mkubwa uliowaka baada ya ajali mbaya ya barabarani iliohusisha lori la mafuta, umewauwa takriban watu 33 mjini kampala Uganda. Watu wengine 30 wanadaiwa kujeruhiwa vibaya kufuatia tukio hilo
Maafisa wa polisi wanasema kuwa kati ya waliofariki ni raia waliokuwa wanakimbilia eneo hilo la mkasa kuteka mafuta yaliokuwa yakivuja kutoka kwa lori hilo.
maafisa wa serikali walikuwa katika harakati za kutambua mili ya waliofariki baada ya wengi wao kuchomeka vibaya.
Idara ya polisi imesema kuwa waliofariki waliteketea kiasi cha kutotambulika na itabidi watumie utaalamu wa vinasaba au DNA kutambua miili ya waliokufa. Source: BBC
uganda-lori-mafuta-moto-vifo-5
uganda-lori-mafuta-moto-vifo-4
uganda-lori-mafuta-moto-vifo-3
uganda-lori-mafuta-moto-vifo-2
uganda-lori-mafuta-moto-vifo-1
uganda-lori-mafuta-moto-vifo

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ