Top News

Saturday, July 13, 2013

PICHA ZA MATUKIO YA GREEN GUARD: RAIS ALAANI RED BRIGADE ASAHAU GREEN GUARD

 Kauli ya rais Kikwete ya kulaani kauli ya CHADEMA ya kuimarisha vijana wao wa Red Brigerd Ili kujilinda wenywe Imeendelea kuzua mjadala mzito, na hata wengine kusema Rais amejisahau kwani wao kama CCM wanao vijana wao wa Green Gaurd ambao huwatumia katika kujilinda sasa kwa nini hili la Chadema liwaumeze kichwa. Kama ni kulaani basi angeanaza na kundi lake la Green Guard.











No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ