Top News

Monday, July 1, 2013

PICHA:BINTI AKIPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI KUTOKA KWA WAZAZI WAKE BAADA YAKUFUMANIWA GESTI

Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.

Hata hivyo mfumaniwa mwenzake  ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia.

Wazazi wenye  uchungu na hasira wakiwa na binti yao mara baada ya fumanizi.
Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi.
(Picha zote na maelezo yameletwa na Dei Misana- Wavuti.com)

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ