Top News

Sunday, August 11, 2013

AJALI...AJALI....YA BASI LA MERIDIANI ENEO LA MBWEWE ROMBO TO DAR


Bai la Merdiani lililokuwa limetoka Rombo kwenda Dar. Limeanguka hapa karibu na mbwewe . Watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. taarifa zinasema dereva wake kafia hapo hapo na abiria wengine pia wamefariki


No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ