Top News

Saturday, August 24, 2013

Amini na Lina Wachapana mate Jukwaani Ma shabiki Waaaaaaaaooooh! Cheki

Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage. Tazama picha za namna mambo yalivyokwenda.
Serengesti fiesta 2013 Tabora ilianza saa 12 jioni kutafuta washindi wa shindano la Serengeti super nyota na baada ya hapo burudani zilianza kudondoka
Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani katika show ya Serengeti fiesta 2013 Tabora ndani ya uwanja wa Aly Hassan mwinyi.
Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani
Amini na Linah
Amini na Linah
Amini
Amini

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ