Top News

Wednesday, August 28, 2013

Diamond Plantums na Kashfa mpya Dayna Adai wimbo anaotaka Kuutoa kamwibia Ule wa No. 1


 
   Baada ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba na Pasha, nataka kulewa. Msanii  Naseeb Abdul Diamond Platnum, ameingia tena ndani ya tuhuma baada ya kusadikiwa wimbo anaotaka kuuachia wa No.1 ni wa Dayna. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.
hii ni demo ya wimbo wa Dayna ambao unafanana kila kitu na wimbo wa Diamond anaotaka kuachia. skiliza na pia waweza ku share na wenzio

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ