Top News

Wednesday, August 7, 2013

Diamond Platnum Ni Shuuda wa Moto Uwanja wa Ndege Jomo Kenyatta Anena haya:




  • HIVI NDIVYO NILIVYOSHUHUDIA AIRPORT YA NAIROBI IKIWAKA MOTO NIKIWA NJIANI KURUDI BONGO


Abiria wote wakiwa wanaamishwa kuelekea Hotelini......

Choka sana nishapamiss Bongo alafu haya ndo yanatokea nipo
na mwanangu Moses Iyobo kuelekea Hotelini maana bado sijapata
uhakika wa safari...








Baada kama ya Lisaa hivi ya kukaa kwenye bus wameamua kutuleta hoteli maeneo ya huku huku
Nairobi,Hoteli hii Inaitwa Panari(5star hotel)


Mabegi yakiwa yamewekwa kwenye hali ya usalama kabisa.....





Kiukweli ni jambo la kumshukuru Mungu kwangu mimi na Abiria
 wote kutuepushia na mabalaa  yoyote
tangu mwanzo wa safari hadi hapa tulipo na Mwenyezi Mungu
akasimame nasi kutufikisha nyumbani salama...
Kaa nami kwenye Blogsite yako ya kijanja zaidi ntazidi
kukujuza kinachojiri huku
na kujua chanzo cha moto huu.....


No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ