Hii Ndio Post ya Ray C Instagram Ikimuonyesha akibatizwa ikifuatiwa na Maneno " Shetani huna tena nafasi katika maisha yangu"
Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za bongo fleva leo hii
amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya.
Ray C amethibitisha hayo katika post zake za instagram.
No comments :
Post a Comment