Mwanadada Wastara
aliamua kusherehekea sikukuu ya Eid kwa kuamua kwenda kutembelea kaburi
la mumewe Marehemu Juma Kilowoko (Sajuki) kwenye makaburi ya kisutu
jijini Dar es salaam
Tukio hili lilitokea
siku ya ijumaa iliyopita , siku ya Eid mosi ambapo mwanadada huyo
alionekana katika picha mbalimbali akifanya usafi kaburini hapo.
“Sikukuu yangu
nimeitendea haki sana kwa kwenda kuzuru kaburi la mume wangu,
alhamdullilah nimefarijika sana, kimwili siko naye ila atabaki kuwa
fikrani mwangu…Alisema Wastara.
No comments :
Post a Comment