Top News

Monday, August 12, 2013

Hizi ndio bangi Za Justin Bieber Asambaza picha alizopiga uchi.

clip_image001 
Picha za msanii Justine Bieber zawagumzo mtandaoni huku picha hizo zikimuonesha msanii huyo wa muziki akiwa hana nguo hata moja isipokuwa ni Kifaa cha muziki tu
alichokishika kikiwa kimezuia sehemu nyeti za mwili wake, clip_image001[6] 
Hivi sasa imekuwa ni kawaida kwa wasanii wengi kupiga picha hizi na kuweka katika mitandao Dhamira ikiwa ni kutafuta kuzungumziwa sana na mashabiki au wananchi kwa ujumla na pia kuongeza umaarufu wa mtu huyo.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ