Kiwanda cha filamu nchini kinaendelea kuimarika sana. Kila siku filamu mpya zinatoka, waigizaji wapya wanazaliwa, kampuni nyingi zinafunguliwa na wananchi wengi wanazinunua filamu hizo. Ni jambo ka kuwapongeza wadau wote waliofanikisha kukifikisha hapo kilipo sasa. Hizi ni baadhi tu ya filamu za hivi karibuni ambazo unahitaji kuziona.
Wonder Girl

Zawadi Yangu

Question Mark

Nikole

Saa Tano Kasoro

Shikamoo Mzee

Sign of Blood

Sweet Liar

Bana

Picha: Albert Manifester (Instagram)

Zawadi Yangu

Question Mark

Nikole

Saa Tano Kasoro

Shikamoo Mzee

Sign of Blood

Sweet Liar

Bana

Picha: Albert Manifester (Instagram)
No comments :
Post a Comment