Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo
Watu
wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi
wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha
Fedha. Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa
tukio hilo.
No comments :
Post a Comment