Mkali wa filam za kibongo Stanley Msungu ambae ametamba katika filamu ya Rude na Nyingine ningi Ameamua kuporomosha kile kilichopo ndani ya moyo wake akieleza hujama zinazotendeka ndani ya tansia ya Filam zaidi katika sekta ya usambazaji. Kamaalivyo andika ndani ya ukurasa wake wa facebook.
Msungu Amesema
Ole wenu wasambazaji wa muv mnaoajili wasanii kwenye ofisi zenu, hao mnawaweka ni masnitch wanataka kazi zao ndio ziuzwe tu wakati uwezo wao mdogo, mtaendelea kuangukia pua kila siku, kwa nini msiajili wataalam ndio wakague kazi za wasanii? najua mimi sina tabu ila kuna wenye shida hii pia najua kuwa masnitch watanimaind ila kipaji kanipa mungu alafu najituma sana hamna wa kunizuia kuwachana, wasanii wezangu hasa wachanga msikate tamaa mungu ndie kila kitu sina uwezo wa kuwasaidia wote ila one day yupo atakae ninyooshea kidole ingawa najua kuwa na mimi ni mwanadam na si mkamilifu "kwa kuwa hakuna aliyeumbwa anajua" mungu niongoze nisimame kwenye mstari:
ASANTE MUNGU.
No comments :
Post a Comment