
Chumba cha hoteli ambacho Rose Ndauka alinaswa akiingia na dogo
Nasry ambaye ni msanii wa bongo fleva, kimekutwa na kondomu
tano zilizotumia...
Rose Ndauka ambaye ni mchumba wa Malik Bandawe,wiki iliyopita
alinaswa akiingizwa katika chuba hicho na msanii Nassoro Ayoub
"Nasry".

Kwa msaada wa wafanya usafi wa hoteli hiyo iliyoko maeneo ya
kinondoni jijini Dar,wawili hao waliingia katika chumba namba G17
cha hoteli hiyo na kutumia masaa takribani matatu huku chumba
kikiwa kimefungwa na walipotoka chumba kilikuwa hoi bin
taaban....

"Mimi ndiye niliyefanya usafi chumba namba G17 siku hiyo na
nilikuta kondomu tano zilizotumika huku shuka zikiwa zimevurugika
kabisa."..Alifunguka mfanya usafi huyo
Tukio la binti huyu kunaswa akiingizwa hotelini na dogo Nasry
linatia shaka uchumba wake na Malik Bandawe ambaye kwa kipindi
kirefu wamekuwa wakitangaza mipango yao ya kufunga ndoa
No comments :
Post a Comment