Top News

Thursday, August 1, 2013

Video: Jackline Wolper Amuibua kanumba Upya Cheki movie ya “After Death”


Siku ya Kanumba day pale Leaders Club ilizinduliwa movie ya “After Death” kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Kanumba ambapo ndani yake kuna Jackline Wolper, Jennifer na Patrick watoto walioibuliwa na Kanumba kwenye movie na wasanii wengine wengi. Wiki hii ndio imetoka na inapatikana kwenye maduka mbalimbali, unaweza kuitumia hii nafasi kutazama hii trailer ili upate nguvu zaidi ya kwenda kuinunua…


No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ