Top News

Wednesday, August 21, 2013

Wema Kuwatambulisha wasaniiwake jumapili hi ndani ya Club Bilicanas.

CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu anatarajia kufanya uzinduzi wa single za wasanii wake Mirror na Asali utakaofanyika Jumapili hii ndani ya Club Bilicanas jijini Dar es Salaam.
IMG-20130820-WA0001
Uzinduzi wa nyimbo mbili mpya Mzuri ya Asali pamoja na Baby ya Mirror, utasindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Barnaba,Country Boy,Nyandu Tozi,Linex,M2 the P ambapo Wema Sepetu atakuwa mshereheshaji.
IMG-20130820-WA0006
Kiingilio kwenye uzinduzi huo ni shilingi 6,000.
IMG-20130820-WA0003

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ