Video queen maarufu Tanzania Agness
Gerald aka Agness Masogange au Eggy ambaye alikamatwa huko South Africa
kwa tuhuma ambazo ziliripotiwa kuwa ni kusafirisha mzigo wa dawa za
kulevya ameachiwa huru huko South Africa. Agness alikamatwa na mdogo wake.
Taarifa mpaka sasa kutoka kwenye facebook yake na account yake ya instagram zinaonyesha kuwa ameachiwa huru kutoka polisi.
Kurasa yake ya facebook ilikuwa kimya toka mwezi wa saba na juzi 17 September 2013 Agness aliandika status mpya. Ziko Hapa
Na Kwenye Instagram Yake Aliandika Hivi.
No comments :
Post a Comment