Top News

Thursday, September 26, 2013

Hali ni tete Somalia; Cheki uwanja wa mpira wakimataifa wa Somalia Al Shaabab waimaliza.

https://scontent-b-vie.xx.fbcdn.net/hphotos-ash3/q71/532078_631757903511063_496276965_n.jpg
Uwanja wa Soka wa Taifa wa Somalia unavyoonekana kwa sasa. Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimepiga marufuku soka kuchezwa kwenye Uwanja huo na sehemu nyingine yoyote ya Mogadishu tangu mwaka 2008. Serikali ya Somalia juzi imeingia mkataba na kampuni ya moja ya China
kukarabati miundombinu ya Uwanja huo lakini imeripotiwa kwamba kampuni hiyo inaogopa kushambuliwa na inasita kuanza kazi.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ