Top News

Friday, September 13, 2013

Madawa ya Kulevya yazidi kuwapoteza wasanii huyu nae akamatwa Brazil

Msanii wa Bongo muvi ambaye pia aliwah kuwa mke wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Mohamed Mpakanjia bibie Aisha Bui anadaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya 
nchini Brazil.. Mtandao huu bado unafatilia kwa ukaribu ishu hii na utawaletea habari kamili muda mchache ujao.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ