Top News

Thursday, September 26, 2013

Magaidi Waivamia kenya Tena Polisi 3 Wauliwa Magari 11 yachomwa Moto.


Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenyana kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma
magari zaid ya 11

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ