Top News

Monday, September 30, 2013

Matukio ya Westgate Nairobi yageuka Mtaji,Video zakusnya nakuuzwa Mtaani kwenye DVD.

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka shambulio la kigaidi litikise jiji la Nairobi, Kenya katika jengo la biashara Westgate, tayari wafanyabiashara wa Kenya wameanza kutumia tukio hilo lililochukua maisha ya watu na kuleta hasara kubwa, kujinufaisha kutokana na tukio hilo.
west movie1
Video za tukio hilo sasa zimekusanywa na kuwekwa katika DVD na kuuzwa mitaani na wafanyabiashara wa jiji la Nairobi.
west movie2
west movie3

Kwa mujibu wa Nairobi Wire movie hizo za Westgate zinapatikana kwa majina tofauti na covers tofauti na zimeonekana kufanya vizuri japokuwa kilichomo ndani ni mkusanyiko wa habari tu za matukio mbalimbali ya shambulio hilo la kigaidi katika video.
Picha: Nairobi Wire

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ