Top News

Thursday, September 19, 2013

Picha: Hatimaye Ray C avuta mkoko Mpya Cheki hapa



STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ameuanika ‘mkoko’(gari) wake ambao anatembelea kwa sasa aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family.....

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ