Picha: Suma Mnazareti ashoot Video Cape Town Afrika Kusini
Rapper Suma Mnazaleti ameshoot video ya wimbo wake mpya jijini Cape Town nchini Afrika Kusini. Director wa video ni Keshy wa nchini Burundi. Hizi ni picha za behind the scenes ambazo Suma ameituma Mitandaoni
No comments :
Post a Comment