Ni vurugu ambazo zimetajwa kutokea kwa mara ya kwanza kwenye historia ya bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ITV wameiripoti hii stori ya zengwe lililotokea bungeni wakati wa mjadala wa muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya Katiba.
No comments :
Post a Comment