Top News

Thursday, September 12, 2013

Video: Mbinu mpya ya usafirishaji wa madawa ya kulevya yagundulika Canada Mwanamke Adakwa.

Huko Colombia mwanamke mmoja raia wa Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa na tumbo la ujauzito wa bandia ambalo ndani yake alificha kilo mbili za dawa za kulevya aina ya Cocaine. Polisi wa uwanja wa ndege wa Bogota Colombia alimshtukia mwanamke huyo Tabitha Leah Ritchie aliyeonekana kuwa na tumbo lisilo la kawaida ndipo baada ya kumkagua wakakutana na dawa hizo. 
Tazama video 

 

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ