
Hakika
Nyumbani ni Nyumbani tu ...Mwanamuziki 20 Percent ambayo miaka kama
miwili iliyopita alikuwa ni tishio katika muziki wa Bongo Flava Hatimae
ameamua kujirudi na kuondoa Beef walilo kuwa nalo na Producer wake
ambaye ndio alikuwa anamtoa Man Water ...
Wawili Hao
wamekuwa kwa muda mrefu hawapatani kila mtu akisema mwenzake ndio mbaya
...ila leo
wamekutana katika Ofisi za Magic FM na Kumaliza Tofauti zao na Kuhaidi kufanya kazi pamoja tena...
wamekutana katika Ofisi za Magic FM na Kumaliza Tofauti zao na Kuhaidi kufanya kazi pamoja tena...
20 Percent toka aachane na
Producer huyo ameshindwa kabisa kufurukuta katika Game Hilo na kuonekana
ameishiwa kabisa....Tunamuombea Arudi tena kama dhamani tupate Burudani
Safi toka kwake...
No comments :
Post a Comment