Top News

Saturday, October 12, 2013

Duh! Hii Nooma Sana: Bangi zampeleka kubaya Adam Mchovu Cheki hii picha Aliyopost.


Kupitia Account yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram Mtangazaji wa Clouds Fm Adam amepost picha hii .Ni picha  ambayo  imezua  gumzo  sana miongoni  mwa  mashabiki  wake...

Wapo  wanaohoji  UTIMAMU  wa  akili  yake  kwa  kuweka  picha  kama  hiyo  huku  wengine  wakidai  ni  bangi  zinamsumbua.....

Yafuatayo  ni  baadhi  ya  maoni  ya  mashabiki  wake: 



No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ