Kutokea katika mtandao wa kimataifa unaojulikana kama Voice Of America
VOA october 9 ulitangaza rasmi kuwa noti mpya ya dola Mia
($100) za kimarekani ni imekwisha anza kutumika rasmi.

Utengenezaji wa noti hizi mpya ni umetengenezwa maalumu ili kukabiliana na wimbi la ongezeko la noti za Bandia.
No comments :
Post a Comment