
Inaonekana watoto wa kibongo watamu
kweli!!! Baada ya kulipotiwa kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na
juzi kati kusababisha VITA kali kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na
Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL PRESIDENTE PREZZO aamua kutoka na mtoto
wa kichaga anaejulikana kama STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae
makazi yake yapo kwa Obama..
Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko...
Watabiri wa mambo wanasubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemej yetu nae ajambo kwelikweli...
We love you Kenyans mnakaribishwa na wengine kuja kujichagulia sio Prezzo peke ake, na Kina Diamond mkatuletee mawifi wa kikenya ihihihihh
PICHA ZINAJIELEZA!!!



No comments :
Post a Comment