NAY WA MITEGO AMPARAMIA PANCHO NA KUDAI NI SHOGA BAADA YA KUTOBOA JICHO LAKE MITHILI YA BINTI MREMBO ANAYESAKA BWANA
Kuna beef la chini chini kati ya Pancho na Nay wa Mitego baada ya Nay kudai kuwa Pancho ni SHOGA...!!
Madai ya ushoga yameibuka baada
Linah kuweka picha akiwa na Pancho studio.Katika picha hiyo,
Pancho anaonekana katoboa JICHO mithili ya BINTI MREMBO
anayesaka mwanaume wa kumwondolea "mawazo"....
Baadhi ya mashabiki wamemuunga mkono Nay na kudai kuwa huo ndo mwanzo wa ushoga kwa watoto wa kiume.
Baadhi yao wamempinga nay na kudai kuwa hayo ni maamuzi ya mtu.Kama vipi nayeye "atoboe makalio yake"
No comments :
Post a Comment