Top News

Wednesday, June 26, 2013

PICHA: WATU WAWILI WATIWA MBARONI BAADA YA KUKUTWA NA BASTOLA HUKU WAKIWA KWENYE PIKI PIKI

TUKIO HILO LIMETOKEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA ENEO LA MAKUNGANYA

ASKARI KANZU AKIWA NA BASTOLA ILIYO KAMATWA AKIIWEKA SAWA

MTU ALIYEKUTWA NA BASTOLA HIYO ALIYEJITAMBULISHA KAMA MFANYABIASHARA

ASKARI KANZU AKICHUKUA MAELEZO

HUYU NDO DEREVA ALIYEKUWA ANAENDESHA PIKIPIKI HIYO

source-mtaakwamtaa

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ