Sunday, June 22, 2025

Wednesday, July 31, 2013

SHEIKH PONDA ISSA PONDA APENDEKEZWA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2015

Ikiwa  imebakia  miaka  miwili  kabla  ya  kufanyika  kwa  uchaguzi  mkuu wa  Rais  na  wabunge  hapa  nchini,baadhi ...
Read more ...

Picha:Haya ndio yanayotendeka katika Uganda's Bikini Car Wash Festival jionee mwenyewe yani aibu tupu

...
Read more ...

karatasi laini ‘tissue', mafuta ya kupikia ya Sun Flower Seed (Sun Shine),taulo za wanawake za ....., taulo za watoto za.... na Bidhaa Nyingine 48 TBS yatangaza kutotakiwa Sokoni

Shirika la Viwango (TBS) limetangaza orodha ya bidhaa 48 ambazo hazitakiwi kuwepo sokoni kutokana na muda wa kuitumia nembo ya kampuni hiyo katika bidhaa zao kumalizika na wahusika kushindwa...
Read more ...

Kama siku yako ya leo haijakaa poa Cheki hapa Kuifanya siku yako iwe poa....!

Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya ushuzi, utumbo utakuja...
Read more ...

Tuesday, July 30, 2013

Gari jipya lakifahari alilonunua Davis Mosha aliyekua makamu mwenyekiti wa Yanga

  Kwa mujibu wa http://swahilitv.blogspot.com/ Davis Mosha ameinunua hii Maserati July 28 2013 huko Houston Texas Marekani. Maserati ni gari la kifahari la Kiitaliano...
Read more ...

Lulu Azidi Kudatisha Watu Intagram Cheki Hapa.

...
Read more ...

Hii ndio CV ya Mbunge IDD AZZAN Iliyozua Mjadala Mitandaoni.

Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Idd Middle Name: Mohamed Last Name: Azzan Member Type: Constituency...
Read more ...

Mbunge Ajisalimisha Polisi Ni Baada yakuhusishwa na Madawa yakulevya.

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Iddi Azzan, aliyetajwa kwenye barua inayosadikiwa kuandikwa na wafungwa Wakitanzania waliopo Hong Kong “amejilisalimisha”...
Read more ...

Monday, July 29, 2013

Picha: HIVI NDIVYO WAHITIMU CHUO CHA POLISI (CCP) MOSHI WALIVYO ONYESHA UWEZO WAO KATIKA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUZO YA AWALI.

MHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIJIANDAA KUVUNJA VIGAE KWA KUPIGA NGUMI JANA MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZOYALIYOJUMUISHA...
Read more ...

Picha Na Video Nando Atimuliwa BBA ni baada yakuanzisha Virumai ndani Ya Jumba La BBA

Channel 197 & 198 za DSTV zimeendelea kutoa huduma ya kutazama bure washiriki wa Afrika wanaozifukuzia dola laki moja za shindano la Big Brother Afrika 2013 The Chase ambapo Tanzania ilikua...
Read more ...

Sunday, July 28, 2013

CHEKI HAPA MTOTO WA DAVIS MOSHA AITWA CHELSEA KUFANYA MAJARIBIO.

Davis Mosha "The Boss" akifanya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington DC, kulia ni mwanae Edgar Mosha mwanafunzi mwenye kipaji cha masomo na soka. Edgar Davis Mosha...
Read more ...

Nape akanusha kauli yake Kua wazee wanao karibia kufa Ndio wanaotaka Serikali tatu.

Nimestushwa sana na stori ya gazeti la Mtanzania inayodai kuninukuu kuwa nimesema wazee waliopendekeza serikali tatu wanasubiri kufa! Kwakweli nimesikitishwa sana hata na jinsi maneno ndani yalivyopangiliwa ...
Read more ...

Mtanzania Alieshikwa na madawa ya kulevya Hong Kong Aeleza Jinsi wanavyosafirisha. Pia ataja majina ya Vigogo wanao husika Wabunge Watajwa.

Jeshi la Wananchi, Polisi, Uhamiaji na vyombo vingine vya usalama pamoja na baadhi ya wanasiasa na wafanyabiashara maarufu nchini wametajwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa kulevya...
Read more ...
Designed By ApexbnewZ