MAMA KANUMBA ADAIWA KUUZA MAGARI YOTE YA MAREHEMU MWANAE NA PESA KUNYWEA POMBE NA MAMA LULU!
Imebaki Hice tu ambayo nayo kesha pewa dalali atafute Mnunuzi. Ofisi nayo inapumulia mashine.
Xdeejayz...
SERIKALI imenasa kanda za video zinazomuonyesha Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, akitoa mahubiri yanayowahamasisha waumini wa dini ya Kiislamu kuanzisha...