Tuesday, June 17, 2025

Saturday, June 29, 2013

BEYONCE ATUPIA VAZI LA KANGA KWENYE MOJA YA SHOW ZAKE

Christina (katikati) Utajiskiaje kuona Beyonce akiwa amevaa vazi lililotengenezwa kwa kanga yenye maneno ya Kiswahili? ‘Wawili Ninyi Yawahusu….’ yanasomekana maandishi kwenye vazi alilolivaa...
Read more ...

WEMA SASA AAMUA KUINGIA STUDIO NA KUFANYA NGOMA NA MSANII MIRROR

Wema ameamua kuingia studio na kufanya ngoma mpya na msanii wa kizazi kipya maarufu kama 'Mirror' soon wanatarajia kuichia katika vituo mbalimbali...
Read more ...

HATIMAYE KAJALA APATA BOYFRIEND MPYA

Baada ya mwana dada mrembo na mkali katika filam za kibongo Kajala Massanja kutoka rumande na kurudi mtaani, hivi sasa ameanza maisha mapya ya mtaani na hata kujikuta sasa akipata Tulizo la Moyo...
Read more ...

HUYU NDIO SHEMEJI YETU KWA JOKATE

Mwanamitendo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amemwanika mwanaume mpya mtandaoni huku wakiwa wamepozi katika staili ya wapendanao. Awali, paparazi wetu alitonywa na sosi aliyeomba hifadhi...
Read more ...

KALA JEREMIAH ATANGAZA KUMPA SHABIKI WAKE LAKI MOJA KAMA ATAKUA WA KWANZA KUFANYA HILI KATIKA KURASA YAKE YA FACEBOOK

KALA JEREMIAH Msanii wa muziki wa Rap na mshindi wa tuzo 3 za Killi Music Awards Kala Jeremiah ametangaza dau kwa shabiki yake atakayeweza kupiga picha mfano wa hiyo hapo juu pindi atakapofikisha...
Read more ...

HUYU BINTI AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA YENYE THAMANI YA MILIONI 170 ALIHITIMU CHUO MWAKA JANA

                                 A BUSINESSWOMAN, Saada Kilongo (26), appeared before the Kisutu...
Read more ...

HAYA NDIO MANENO JA JAQUELINE WOLPER "SERENGETI BOYS WATAMU"

Nyota wa tasnia ya filamu , Jaqueline Wolper ‘Wolper Gambe’ amedai kuwa hawapendi sana wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za watu... Wolper anadai kuwa nao si rahisi kuonyeshwa mapenzi...
Read more ...

HAYA NDIO MATUSI YA NEY NA PANCHO NA SABABU YAKUTUKANANA NDIO HII

NAY WA MITEGO AMPARAMIA PANCHO NA KUDAI NI SHOGA BAADA YA KUTOBOA JICHO LAKE MITHILI YA BINTI MREMBO ANAYESAKA BWANA Kuna  beef  la  chini chini ...
Read more ...
Designed By ApexbnewZ