Top News

Friday, April 12, 2013

PICHA YA DIAMOND PLATINUM YACHORWA AFRIKA KUSINI

HII NI PICHA AMBAYO NIMETUMIWA ASUBUHI YA LEO KWENYE MTANDAO
NA JAMAA YANGU WA KARIBU AISHIE SOUTH AFRICA KWA MUDAA....
NILIPO DOWNLOAD KUIONA SIKUAMINI MACHO YANGU....
ILIKUWA ASUBUHI NJEMA KWANGU.....KUAMKA NA TABASAMU KUBWA
KINYWANI MWANGU NA KUJIHISI WA KIPEKEE SANA...!!

 


HII PICHA IMECHORWA NA MCHORAJI KUTOKA SOUTH AFRICA NA IPO
HUKO IKITUMIKA KAMA BANGO LA UCHORAJI.....NAFURAHI NIKIONA
MASHABIKI ZANGU WAKINITHAMINI NA KUFANYIWA KITU AMBACHO
WAEZA SEMA NI KIDOGO LAKINI KUTOKA MOYONI MWANGU NI KIKUBWA...

 


NI LOVE ILIYOPELEKA KUFANYA HIVI.......NA NIKAONE HAITAKUWA VIBAYA
NIKISHARE JAMBO ILI NA MY FUNS ALL OVER THE WORLD KUPITIA MTANDAO
WANGU ILI KUWAJUZA FURAHA YANGU YA LEO.....NI HAYO TU NAPENDA
KUWATAKIA SIKU NJEMA......!!


ArtWork #Amazing #pictureofme made by my fan in South Africa... #cool #nice #dope #lovemyfans #Blessmyfans #InternationalLove #InternationalMusic #Swahili.... Well basically my point is I love my fans and what they do for me is simply amazing!!

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ