Top News
Showing posts with label Baby Madaha. Show all posts
Showing posts with label Baby Madaha. Show all posts

Friday, October 4, 2013

Picha Hili ndilo gari alilopewa Baby Madaha Nchini Kenya baada yakusain mkataba na Candy Records



Picha za mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Baby Madaha akiwa nchini Kenya na gari
yake aina ya audi aliyopewa na Record Label ya Candy n’ Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba na kampuni hiyo.
Read more ...

Wednesday, September 11, 2013

Baby Madaha afungua njia kwa wanao mtaka kimapenzi


  

Leo katika interview na baby Madaha ambaye hivi karibuni amesaini mkataba mnono na kampuni ya Candy n’ Candy Records  ya jijini Nairobi nchini Kenya , Bongomovie.com wameweza kupata mambo matano ambayo mashabiki wa mwanadada huyu watakuwa hawajui kumhusu yeye.
  Katika interview hiyo, baby Madaha  ametaja mambo matano ambayo anasema mashabiki wake wanahitaji kuyafahamu kumhusu yeye. Mambo hayo ni haya yafuatayo:
1. I’m single ( Sina  mpenzi) Mwanadada huyu amesema kuwa kwa sasa yupo single na  yuko  bize  na PESA. Ila  kama  kuna  mwanaume  mwenye  nia  ya  dhati  anaweza  kumtafuta.
2. Anasoma degree ya sanaa kwenye sayansi ya siasa na historia (B.A- Political science and History) - chuo kikuu huria jijini Dar es Salaam..

3. Mama yake mzazi ndio rafiki yake mkubwa maishani
4. Ni mpenzi wa soka na ni mshabiki wa Chelsea na anavutiwa na  Kevin-Prince Boateng wa club Schalke 04 ambaye ndiye alisababisha akanyoa nywele staili aliyonayo baby madaha kwa sasa.

Read more ...

Thursday, July 18, 2013

Baby Madaha ataka kumchapa Jacqueline Wolper:

Staa  wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba pambano la ngumi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu lao.


Akipiongea na  mwandishi wetu, Baby alisema amechoshwa kusikia tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane kwa  ngumi  ili amuoneshe cha mtema kuni.


 “Asiniambie mimi natafuta kiki, mimi ni msomi kuliko yeye, arudi shule au akauze vipodozi. Najua kuimba, kuigiza na ni msomi yeye anaweza hayo? 


"Kimsingi naomba pambano nimtoe  manundu.Nipo  tayari  kupigana  naye  ili  nimshikishe  adabu,” alisema Baby Madaha.
Read more ...
Designed By ApexbnewZ