Top News
Showing posts with label Udaku. Show all posts
Showing posts with label Udaku. Show all posts

Saturday, October 12, 2013

Duh! Hii Nooma Sana: Bangi zampeleka kubaya Adam Mchovu Cheki hii picha Aliyopost.


Kupitia Account yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram Mtangazaji wa Clouds Fm Adam amepost picha hii .Ni picha  ambayo  imezua  gumzo  sana miongoni  mwa  mashabiki  wake...

Wapo  wanaohoji  UTIMAMU  wa  akili  yake  kwa  kuweka  picha  kama  hiyo  huku  wengine  wakidai  ni  bangi  zinamsumbua.....

Yafuatayo  ni  baadhi  ya  maoni  ya  mashabiki  wake: 



Read more ...

Thursday, October 10, 2013

Diamond Afunguka Kuhusiana na Ngoma Ya "Nikifa Kesho" kumbe hii ngoma inasiri Nzito.

 
Read more ...

Baada ya Ishu ya Diamond na Wema Kuzagaa Kua Zlipendwa hawa wamerudiana Kumbe Ni "TEMPTATIONS MOVIE" Soma hapa ujue ukweli.

Leo ilikuwa kama gumzo katika account ya Instagram baada ya kuonekana picha hizi Diamond akiwa na Wema Sepetu pande za China. Mengi yalisemwa hadi wengine kudiriki kumtukana Penny ambaye ndio wa Diamond lakini ukweli ni kwamba hii ni movie mpya kabisa iliyochezwa na Diamond akiwa na Wema Sepetu na hakuna kingine kinachoendelea tena hapa ni kazi tu. 
 
Namnukuu Diamond akiyasema maneno haya
Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
 kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? 
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana 
Mnapenda kuona watu wanauadui… nimuda
 wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
 na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
 
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.
Read more ...

Wednesday, October 9, 2013

Aaah! KUMBE "Ndivyo ilivyo kati ya Wema na Diamond" Usisubiri kuambiwa Jionee mwenyewe!




Utata  umeendelea  kuibuka kuhusu picha zinazosadikiwa ni za hivi karibuni zikimwonesha Wema Sepetu na Nasib Abdul "Diamond Platnumz" katika nyakati tofauti kwenye nchi moja huko Asia wakiwa  kimahaba  CHUMBANI

Picha hizi zimehusishwa na usaliti wa Diamond kwa mpenziwewa sasa aitwaye Penny, na gazeti moja la udaku lilichapisha habari kuwa wawili hao hawapo katika hali  nzuri  baada ya Diamond kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Wema.  

 Wakati Wema akiripotiwa kuwa alikuwa China kwa
ajili ya sherehe za kumbukumbu ya sikukuu yake ya kuzaliwa, Diamond aliripotiwa kipindi hicho hicho akiwa Malaysia kwa ajili ya shughuli zake za kutumbuiza na burudani.


  Baada  ya  picha  hizi  kuvuja,Diamond  amefunguka  na  kujitetea  kuwa  eti  walikuwa  wana shoot movie  yao  mpya, lakini hembu tutumie macho kwa kufananisha hizi picha ili  tuupate  ukweli.


Angalia picha ya juu hair style ya Diamond na mawani aliyovaa. Picha ya juu alipiga Diamond akiwa dukani huko Malaysia na picha ya chini ni moja ya picha zilizovuja
Angalia tena picha ya juu hair style ya Wema pamoja na hand bag yake, then angalia picha ya chini hair style ya
Wema pamoja na begi lake. Picha ya juu ni moja kati ya zilizovuja na ya chini alipost Wema akiwa bara la Asia lakini ilisemaka yupo Hongkong




 
Angalia simu aliyotumia Wema kupiga hizi picha hapo chini na juu, picha ya chini nayo imevuja

 


Read more ...

Thursday, October 3, 2013

PICHA: Hili ndio gumzo kwa sasa shailole anyonywa matiti na shabiki jukwaani.

 Shabiki akimnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote.
 Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shabiki wake
 jamaa akifaidi ziwa la Shilole
Read more ...

Nakaya Hitmaker wa Mr Politician aachia Ujauzito wake hadharani.

Hitmaker wa Mr Politician, aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Tusker Project Fame 2005 pia Nakaaya, anatarajia kuwa mama siku si nyingi.
Nakaaya
Nakaaya amepost picha mbalimbali kwenye mtandao wa Instagram zinazomuonesha jinsi ujauzito wake ulivyokuwa mkubwa.

Nakaaya 4
Nakaaya 5
Nakaaya 2
Nakaaya 3

Read more ...

Wednesday, October 2, 2013

Mbunge Achemka kwenye Interview EATV Chanel 5

Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana toka chama cha mapinduzi akiwakilisha mkoa wa Mara wilaya ya Bunda alikuwa akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha ''hot mix'' kinachorushwa kupitia kituo cha television cha EATV - Chanel 5!
Akaulizwa swali kuwa nje ya siasa anapenda kufanya shughuli gani?mojawapo ya shughuli aliyoitaja kwamba huifanya ni pamoja na kusoma vitabu na kusikiliza hotuba za wanaharakati kama Martin Luther King Jr., Mwalimu Nyerere na Mandela! 

Katika kukoleza maelezo yake akasema anapenda sana kusoma kitabu kinachoitwa ''How to be a Good Political Leader''. Mtangazaji akamuuliza jina la Author wa hicho kitabu lakini mheshimiwa mbunge akashindwa kumtaja kwakuwa alikuwa hamkumbuki pamoja na kuomba apewe muda ili amkumbuke!!

MY TAKE:
Kwa mtazamo wangu si rahisi mtu kusahau jina la author wa kitabu unachokipenda kukisoma mara kwa mara! Pengine Mh.Esther alikuwa anatafuta mileage kwamba ni msomaji mzuri wa vitabu lakini kachemka kwa kutomjua author wa kitabu akipendacho!

source-JF.
Read more ...

Picha Prezzo: Baada ya kutemana na Diva wa Clouds sasa atoka na Toto lingine lakichaga.

 Inaonekana watoto wa kibongo watamu kweli!!! Baada ya kulipotiwa kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na juzi kati kusababisha VITA kali kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL PRESIDENTE PREZZO aamua kutoka na mtoto wa kichaga anaejulikana kama STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae makazi yake yapo kwa Obama..

Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko...
Watabiri wa mambo wanasubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemej yetu nae ajambo kwelikweli...
We love you Kenyans mnakaribishwa na wengine kuja kujichagulia sio Prezzo peke ake, na Kina Diamond mkatuletee mawifi wa kikenya ihihihihh
PICHA ZINAJIELEZA!!!


Read more ...

Tuesday, October 1, 2013

Wema Sepetu Aadika ujumbe wa machozi kuhusu kuchafuliwa magazetini.



C.E.O wa kampuni ya Endless Fame Film maarufu kma Wema Sepetu ameonekana kuchukizwa na kitendo cha kuchafuliwa kwa jina lake katika moja ya magazeti ya udaku ya hapa nchini.

Mapema asubuhi ya leo kupitia account yake ya Instagram mwanadada Wema alitupia picha ya gazeti hilo lililo mchafulia jina kwa kumuandika kuwa "Wema Kunyongwa China Awaomba Watanzania Wamuombee".

Pia dakika chache zilizopita kupitia account yake hiyohiyo ya Instagram wema amefunguka zaidi kwa kitendo hicho cha kuchafuliwa jina na kuandika hivi ... Soma hapa chini ...

Read more ...

Hii ndio barua yenye ujumbe mzito aliyo andikiwa Shilole


MSANII wa sinema za Kibongo,Zuwena Mohemed‘Shilole ameandikiwa barua yenye ujumbe mzito na mtoto wake aitwaye Joyce akimuasa mama yake kuwa care na kila kitu anachokifanya. 


 

Shilole ameipost barua hilo kupitia matandao wa instagaram huku akiandika …Asante mwanangu sijui umefikiria nn? Dah mungu nikuzie wanangu coz ndo faraja yangu. Hiii barua nimeikuta kaniwekea harafu yy kaishaondoka shule miss u my baby girl soma kwa uwezo wako wote mi natafuta kwa ajir yenu….…
 
Mtoto wa Shilole

Read more ...

Picha: Hii ndio Stail Mpya ya Nywele aliyotoka nayo Rihana "Vipi Dada zetu na Hii inakwenda.!

   
Rihanna's New Look iliyoteka headlines kwenye blogs na website tofauti Duniani. Hapa alikuwa akifanya shooting ya video yake mpya ya Pour It Up.

Read more ...
Designed By ApexbnewZ