Siku chache baada ya chris kuachana
na mwanadada Rihanna,jana usiku watu walipigwa na butwaa baada ya
kumwona mwanadada huyo aki bang na J.R. Smith huko Greenhouse NYC na
hapo jana wakati akifanya shoo yake huko Brooklyn mwanadada huyo alitoa
ujumbe ambao ulikuwa ni dongo kwa chris kwa kusema“Anybody who thinks
love is the most complicated s*** ever?” she asked. “This is for us
complicated ones. What the f*** now …”
No comments :
Post a Comment