Watu sita mjini Nakuru Kenya wametiwa
nguvuni baada ya kunaswa wakipiga picha za uchi kwa ajili ya
filamu yao ya ngono.....
Tukio hili limetokea ikiwa ni siku
chache tu baada ya kundi jingine la warembo 11 kunaswa
wakifanya mapenzi na mbwa huko Mombasa....
Habari zinada kwamba, tukio hili la
Nakuru lilinaswa na walinzi wa jengo ambalo vijana hao walikuwa
wakilitumia kushoot video yao kinyemela.....
Wakiwa katika doria ya kawaida, mlinzi
mmoja alishangaa kuona nguo zikiwa zimewekwa kando katika floor ya
kwanza ya jengo hilo ambalo lipo katika matengenezo...
Walipofanya upekuzi, walifanikiwa
kuwanasa vijana hao wakiwa katika hatua ya kupigana picha uchi
huku wakitomasana, wakinyonyana, na maandalizi mengine ya tendo
hilo.....
Baada ya kuwanasa, walinzi waliita polisi na warembo hao wakatiwa nguvuni....
Source:KenyanaDailypost
No comments :
Post a Comment