Top News

Monday, August 26, 2013

Hii ndi katuni aliyopost Diva Wa Clouds Fm Ikimuonyesha yeye ni mjamzito na kusema haya.

Tunafahamu jinsi Diva the Bawse anavyopenda watoto, hivyo huenda sasa akawa anataka wake mwenyewe. Jana alitweet mambo kadhaa kuashiria kuwa tayari ana kiumbe tumboni mwake.
BF3glugCcAAHZHm
“When you are pregnant, you went through a lot , sickness. Jhezus and its kinda boring,” aliandika.

Aliongeza tena, “Day by Day. Inshaallah,” na kisha kuandika, “I’m grateful for what I have and I’m falling in love with it more and more every day. God gift. I’m feeling the heartbeat. Feels good.”
Hata hivyo hii si mara ya kwanza kwa mtangazaji huyo wa Clouds FM kuandika suala kama hilo.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ