Jana kupitia mtandao, mwanadada Elizabeth Michael
(Lulu) aliandika ujumbe huu kwa watu wote watakaopenda kuusoma na
kuufanyia kazi katika maisha yao. Ujumbe huu ni ujumbe wa upendo na sio
vibaya ukitafakari na kuufanyia kazi.
Mwanadada Lulu aliandika…
“Umeshawahi kujiuliza umempa nini Mungu?una afya na una
Uwezo wa kufanya chochote japo Kuwa unamkosea na kutenda dhambi kila
Leo?unajua ni wangapi walitamani kuiona siku ya Leo lakn
hawakuweza!?unajua wapo walioweza kuiona lakini wanapita katika majaribu
magumu sana!?je unahisi wewe unafaa sana?au ni msafi sana!?au ni mzuri
sana!?laah hashaaa....sio kwa Uwezo wako ni kwa NEEMA YA MUNGU TU”
Tafakari!
No comments :
Post a Comment