Mwigizaji staa wa bongo Irene Uwoya ataanza kuonekana kwenye TV kwa njia
nyingine tofauti na ya kiubunifu zaidi, duniani kuna mastaa kadhaa
ambao wanafanya reality TV show zao lakini Irene ametoa news kwamba
anaanzisha show yake binafsi kupitia kituo cha Clouds TV ambayo ni
tofauti kabisa na show za mastaa wengine.
Undani wa info unatiririka kwamba kwenye hiyo show kila kitu humo ndani kitahusu mambo ya nyumba, Irene na crew yake watakuwa na kazi ya kutembelea nyumba zenye hali mbaya na kuzifanyia ukarabati ili kuboresha hali ya mazingira ya kuishi ya muhusika mwenye nyumba au chumba So, show yake itakuwa inaonyesha mwanzo nyumba ikiwa kwenye hali mbaya hadi atakapo ikamilisha kwa huo ukarabati.

Hii picha hapa chini ni akiwa anajiandaa kurekodi sehemu ya hiyo show kwa hiyo.
No comments :
Post a Comment