Saturday, April 05, 2025

Saturday, August 3, 2013

PICHA: MAELFU YA WAFUASI WA CHADEMA WAJITOKEZA KWENYE MKUTANO WA USHINDI WA NNE BILA (4-0)

 Leo Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimefanya Mkutano mkubwa wa hadhara Arusha ndani ya viwanja vya Ngarenaro ukiongozwa na Mbunge wa Arusha Godbless Lema na Joshua Nassar kuwashukuru wananchi kwa ushindi wa nne bila 4-0.
Wanachama wachadema wamejitokeza kwa wingi licha ya kuopo kwa milipoko ya mabomu ya mara kwa mara arusha.



Kutoka kushoto Mchungaji Ngowi, E.Kessy, J. Nassari, Eng. Mpinga, Kinabo na Godbless Lema wakiwashukru wana Arusha kwa ushindi wa 4 bila..

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ