Monday, April 07, 2025

Friday, October 4, 2013

Irene Uwoya apewa matusi ya Nguoni ni baada yakupost picha ya mwanae akiwa ameshika glasi ya pombe



Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo atukanwe  baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake .

Ireneamepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata .

  

Watuhao walimwambia Uwoya kuwa siyo malezi mazuri hata kama ameshika au kunywa kabisa .....anatakiwa kuwa mama wa mfano kwa tabia njema kwa mtoto.

…cio malezi ata kama ameshika au kunjwa kabisa. b a good mother.Alicomment  shabiki  mmoja


No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ