Tuesday, April 22, 2025

Friday, October 4, 2013

Maskni Joketi: Tumuombee Pumu inamtesa

“Naumwa jamani, pumu inanisumbua inanitesa sana. Inaponitokea huwa nashindwa kufanya kabisa kazi zangu za kila siku na vitu vyote huwa vinalala hadi nitakapopata nafuu,” alisema Jokate kwa tabu.

Hayo ni maneno ya Jokate mwegelo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa mtandao wa GPL hivi karibuni.

Mwanadada huyu amewataka fans na watu wote wenye mapenzi mema wamuombee kwani pumu hiyo kwa sasa imemshika sana.

Pole sana Jokate

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ