Top News

Thursday, October 3, 2013

Nakaya Hitmaker wa Mr Politician aachia Ujauzito wake hadharani.

Hitmaker wa Mr Politician, aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Tusker Project Fame 2005 pia Nakaaya, anatarajia kuwa mama siku si nyingi.
Nakaaya
Nakaaya amepost picha mbalimbali kwenye mtandao wa Instagram zinazomuonesha jinsi ujauzito wake ulivyokuwa mkubwa.

Nakaaya 4
Nakaaya 5
Nakaaya 2
Nakaaya 3

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ