Wednesday, April 02, 2025

Wednesday, July 30, 2014

Picha: Mapokezi ya Diamond Platinum Kutoka AFRIMAMA Marekani.

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, leo amepokelewa na msafara kama wa rais na watu wa maeneo alikozaliwa Tandale jijini Dar baada ya kushuka kwenye ndege akitokea kwenye tuzo za Afrimma zilizotolewa nchini Marekani. Picha na GPL
Diamond akiwa juu ya gari akiwa ameshikilia tuzo aliyopata.
Watu mbalimbali wakitembea kwa miguu katika msafara huo kumpokea shujaa wao.
Akiwa kwenye picha ya pozi na tuzo yake.
Watu mbalimbali wakiwa wamelizingira gari la Wema wakimtaka atoke nje, lakini hakutoka.
Waendesha bodaboda wakiongoza msafara huo.

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ